Msaada wa nafasi ya kazi ya pr

Msaada wa nafasi ya kazi ya pr

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Wana JF

kuna ndugu yangu amemaliza kozi ya PR, Mass Communication, and Journalism,

anaomba msaada wa kazi ya PR. ansa experience ya miaka miwili kwenye fani husika he could be reached through

0712-756 743
 
Ni Mwanamke ?? ingekua vizuri utupachikie hata ka passport size kake tumsorole! lol, goodluck
 
Ivi mtu unaona ugumu gan kusema ni wewe unatafuta kazi hadi useme ni ndugu yako,huyo ndugu yako yeye ni mdogo sana kias kwamba hawezi hata kuingia humu jf akaeleza shida yake?
 
we nawe, unaombwa msaada una aply critical discourse analysis, what kind ov senetor r u?
 
Bac huyo hawezi kazi kama hata kazi yenyewe mpaka atafutiwe.
Mia.
 
We sema ni demu wako,ukificha ipo siku utakuja laumu watu, Ninavyofahamu waliosomea course hiyo wanaweza pia kufanya kazi ya kuwa WASEMAJI wa kampuni au organization. Je anaweza na yupo tayari ani-pm na cv.
 
Back
Top Bottom