Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Habari za majukumu wakuu,
Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake.
Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo.
Natanguliza shukrani kwa atayeweza kunisaidia hilo.