Msaada wa namba/ mawasiliano ya Clearing and Forwarding Agent wa Namanga Arusha

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
Habari za majukumu wakuu,

Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake.

Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo.

Natanguliza shukrani kwa atayeweza kunisaidia hilo.
 
Habari kama hujafanikiwa nipo hapa naweza kukusaidia
 
Hivi nauli ya kutoka arusha mjini mpaka namanga ni sh ngap na gari za kwenda huwa zinakaa wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…