Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka.

Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za askari wa kituo chochote kinachotoa mkong'oto kwa wale wezi wanaojifanya hawatoi siri za kambi.

Msaada wenu ndugu zangu,kuna mtu nataka kumnyoosha kidogo kwa kutumia sheria na sio kihuni huni,nina imani sana na askari wa stakishari,wana adhabu nzuri sana za kukufanya useme ulipopeleka ulichoiba au aliekutuma.

Kwa mwenye namba zao naomba msaada, sitokuacha bure bure baada ya kufanikisha jambo langu nina Asante ya 50,000 kwa kunisaidia tu namba za askari ataesimamia shooo ya jambo langu hadi mwisho.

This is very Serious,kama mtu ataogopa weka namba hadharani basi anaweza kuja Hata PM.

NOTE :

ASKARI ASIWE WA KITUO CHA MSIMBAZI (K.KOO) WALA KITUO KINACHOPATIKANA MOROGORO ROAD
 
Bado sijafanikisha wakuu,nikifanikisha mtaona nipo kimya ila kwasasa naomba mwenye uwezo anisaidie.
 
Ndio maana Askari wanavamiwa vituo hlf tunasingizia magaidi, hicho kituo pia kimewahi kupata tukio
 
Ndio maana Askari wanavamiwa vituo hlf tunasingizia magaidi, hicho kituo pia kimewahi kupata tukio
Ni kweli,ni kituo kinachosifika kupokea Majambazi walioshindikana na waliogoma Kutoa siri Lakini wakifishwa stakishari Husema kila kitu,adhabu zinazotolewa pale ni za Grade A.

Kituo pekee kinachokupa adhabu huku wakikuletea maji yenye glucose na Uji,ukimaliza kunywa wanaendelea na kazi Yao, mbona kufa hufi ila utasema Tu.
 
Bado sijafanikisha wakuu,nikifanikisha mtaona nipo kimya ila kwasasa naomba mwenye uwezo anisaidie.
 
mpeleke shinyanga mjini. kuna chumba cha giza. huko jamaa wanafuga kunguni na chawa.
siku tatu tu mtu anasema ukweli wake 🤣 🤣
 
Bado sijafanikisha wakuu,nikifanikisha mtaona nipo kimya ila kwasasa naomba mwenye uwezo anisaidie.
 
Mkuu nimekuelewa sana sana,nimekuja PM nasubiri mrejesho wako tu ndugu yangu.
 
mfungie chumbani umvute mapumbu tu huku ukiyachapa na raba bendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…