Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie.

Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
 
Kamisheni yangu sh ngapi jamaa akuletee maji hapo
 
Umeme na maji Tanzania ishakuwa kero watu kero keroo hyo nyimbo ni ya mda sana lakini mpaka leo umeme na maji bado ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…