Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu.
Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA malipo yake yakoje, je hayo malipo ni sawa kwa mikoa yote Tanzania au gharama ni tofauti. Pia mwenye msaada wa kuunganisha blog ya WordPress na Google Adsence.