Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

Ndugu Job K, commission charge inatolewa kila unapoiletea kampuni ya chinaworldbuz mteja wa kununua bithaa kutoka china! Kazi ni kwako jinsi unavyoleta wateja ndivyo commission fee yako inavyokuwa kubwa! Karibu sana ofisini kwetu kwa maelezo zaidi. Asante

Nakuja Ofisini Tufanye Kazi, Kama Ni Waamifu Uwanja Wa Kuvuna Ni Wenu
 
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 4th floor ushirika tower, barabara Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.com au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya www.chinaworldbuz.com
0715726995, 0653264460
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
Mbna ukibonyeza hiyo web yao inakua kichina gu havionekani vitu
 
Back
Top Bottom