Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kuna bidhaa nataka kuagiza nje kwa sababu hapa Tanzania nimetafuta nimekosa ila sijui unafanyaje nimejaribu kwa njia ya internet nimeshindwa kwa anayeweza kunisaidia kama kuna agent wanaojishughulisha na hiyo mambo au namna ya kuagiza mwenyewe.

Natanguliza shukrani
 
Una creditcard? na hiyo nje ni wap? cz hata Kenya pia ni nje ya TZ.
 
Unataka kununua kutoka nchi gani mkuu. Kama unataka kutoka UK ni PM
 
Nenda www.paypal.com jisajili.but kabla ya hapo unatakiwa kuwa na bank account kwa benki wanayotumia visa card/creditcard,uwe na address na vitu vingine wanavyotaka jamaa wa paypal.
 
Kwanza ujasema ninini unachoitaji na kutoka nchi gani sasa kwakukusaidia tu wapigie awajamaa
no 0715726995
0653264460
 
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China.

Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB.

KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo.

Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 4th floor ushirika tower, barabara Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake.

Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.

Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.com au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya www.chinaworldbuz.com
0715726995, 0653264460
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
 
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 4th floor ushirika tower, barabara Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.com au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya CWB New Attempts, New Possibilities
0715726995, 0653264460
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!

Hapo safi,hata wenye mitaji midogo tutafanya biashara za china
 
Kama unataka kuagiza vitu vya elecronic toka Amazon UK unachofanya unatmebelea ntandao na kuchagua bidhaa unayohitaji unanipa link then nakuagizia bidhaa hiyo utailipa baada ya nidhaa kufika simply just call 0716099463
 
Maelezo yaliyoshiba haya! Hii kampuni itatusaidia sana kama itafanya kwa uaminifu! Je, kuna commission charge yoyote mnayotoza hapo?
 
Kama unataka kuagiza vitu vya elecronic toka Amazon UK unachofanya unatmebelea ntandao na kuchagua bidhaa unayohitaji unanipa link then nakuagizia bidhaa hiyo utailipa baada ya nidhaa kufika simply just call 0716099463
Sio vya ki electronic ni karatasi zinaitwa rag paper
 
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 4th floor ushirika tower, barabara Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.com au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya www.chinaworldbuz.com
0715726995, 0653264460
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!

Siyo muda mrefu nitakuwa mteja hapa!
 
Asante sanaa na karibu ofisi zetu zipo Gorofa ya 10 jengo la ushirika tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es Salaam
 
Ndugu Job K, commission charge inatolewa kila unapoiletea kampuni ya chinaworldbuz mteja wa kununua bithaa kutoka china! Kazi ni kwako jinsi unavyoleta wateja ndivyo commission fee yako inavyokuwa kubwa! Karibu sana ofisini kwetu kwa maelezo zaidi. Asante
 
Mfano nikitakata kuagiza vifaa vya ujenzi kwa kuuzia tz mtaji wake at least uwe kiadi gani?
 
Kama unataka kuagiza vitu vya elecronic toka Amazon UK unachofanya unatmebelea ntandao na kuchagua bidhaa unayohitaji unanipa link then nakuagizia bidhaa hiyo utailipa baada ya nidhaa kufika simply just call 0716099463

Malipo yako baada ya bidhaa kufika yanakuwaje!! Mfano kuna laptop nimeipenda sana Amazon na ni Pound 270, wewe nitakulipaje??
 
Back
Top Bottom