Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao wanashambulia mazao ,,naambatanisha na picha zao
Hivyo basi naomba msaada wa dawa ambazo zinaweza angamiza hawa wadudu coz mimi si mtaalamu sana
Almaarufu wanaitwa kantangaze hao,tumia profecron mkuu,kuwa makini na maelekezo utakayopewa/utakayosoma namna ya uchanganyaji, hii dawa ukizidisha kipimo itakutia hasara kwani dawa hii ni kali mno.