Kaiche
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 147
- 297
Habari wanajamvi na wataalamu wa kilimo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao wanashambulia mazao ,,naambatanisha na picha zao
Hivyo basi naomba msaada wa dawa ambazo zinaweza angamiza hawa wadudu coz mimi si mtaalamu sana