Msaada wa namna ya kufanya biashara online

Hakuna soko ambalo watu wanalidharau lakini lina wateja kama facebook..
1.facebook marketplace
2.Magroup ya Facebook
3.Facebook Ads (matangazo ya kulipia ya facebook)

1 na 2 wala huhitaji kulipia ni kupiga picha nzuri na kupost tu... uwe active muda wote wateja wanakuja tuu

hiyo ya 3 unawez tenga hat 10,000 kwa siku kwa ajili ya matangazo na inarudi vzuri tu ukiweka bei zako vzuri kucover marketing cost..
Pata shule ya kufanya hayo matangazo ya kulipia (hata youtube zipo video kibao zinaelekeza buree kabisa)
 
Jifunze you tube
Pia utapata wateja wengi zaidi kama utafanya sponsored yaani hapo biashara yako itawafikia watu wengi zaidi
 

Daah Ahsante mkuu! Umetufumbua macho na wengine
 
Usisikilize ushauri wowote zaidi ya huu. Kama vipi soma hata mara 100 alafu unwatch hii thread.
Hiyo ndio your way out online bussiness. Kuwa mtiifu kuwa mvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…