Abdallah vicen
New Member
- Nov 1, 2023
- 3
- 3
Nnabiashara ya mikoba na pochi za kike ila nilikuwa naomba nipate ujuzi zaidi ya kufanya biashara online [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nandomana nilikuwa naomba nipewe ujuzi jinsi yakufanya biashara onlineNgoja waje
Hakuna soko ambalo watu wanalidharau lakini lina wateja kama facebook..
1.facebook marketplace
2.Magroup ya Facebook
3.Facebook Ads (matangazo ya kulipia ya facebook)
1 na 2 wala huhitaji kulipia ni kupiga picha nzuri na kupost tu... uwe active muda wote wateja wanakuja tuu
hiyo ya 3 unawez tenga hat 10,000 kwa siku kwa ajili ya matangazo na inarudi vzuri tu ukiweka bei zako vzuri kucover marketing cost..
Pata shule ya kufanya hayo matangazo ya kulipia (hata youtube zipo video kibao zinaelekeza buree kabisa)
Usisikilize ushauri wowote zaidi ya huu. Kama vipi soma hata mara 100 alafu unwatch hii thread.Hakuna soko ambalo watu wanalidharau lakini lina wateja kama facebook..