Msaada wa namna ya kufanya Packing

Msaada wa namna ya kufanya Packing

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Habari za mida hii wakuu,

Nilikuwanoomba msaada wa ushauri namna ya kufanya packing nzuri:-

-Biashara ni ya viungo(Spices),kwa sasa na pack kwenye mifuko ya plastic kama ,sasa nilitaka angalau niwe na packing nzuri.

-Pia packing ya Asali,maana naipata kwenye gallons then naiweka kwenye chupa zetu hizi zisizo namfumo Rasmi,sasa na zenyewe nilitaka kuangalia utaratibu huo.

Je,ni sehem ipi au kampuni zipi wanazalisha bidhaa za packings ili niweze kubadilisha mfumo wa packing?

Mbarikiwe wachangiaji wote,
 
Inabidi iwe public ndio maana ya kuweka humu,lengo ni kwamba nawengine waweze kufaidika na maelezo na pia ku challenge kwa faida yetu sote.
 
Inabidi iwe public ndio maana ya kuweka humu,lengo ni kwamba nawengine waweze kufaidika na maelezo na pia ku challenge kwa faida yetu sote.
well said ZS!

Sa cha faragha apo ni nini, anachotaka kukificha hakuna maana ya kuwa na public forums basi kama kila kitu ni mtindo wa ku-PM-iana cause wengi tunashauku ya kujua,
hapa ndipo udhaifu wa watanzania unapojitokeza kwenye business hatuna ile utashi wa kibiashara.
 
Back
Top Bottom