Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

magwamaka

Senior Member
Joined
May 20, 2023
Posts
120
Reaction score
266
Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
 
Futa tu kawaida mkuu ukishindwa nitumie email Yako DM nikusaidie
 
Nafuta ila bado kwa kutumia computer bado inanimbia nilipie nmbado inaniambia imejaa
 
Ahsanteni ndugu zangu nimefanikiwa Mungu awabariki sana kwa utayari wa msaada wenu
 
Back
Top Bottom