Msaada wa namna ya kumhamisha mwanafunzi!

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Ndugu, hatimaye mwanangu amefanikiwa kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano, bahati mbaya yeye anatokea Arusha na amepangwa Njombe Sec, kiukweli mimi kama mzazi ningefurai zaidi angefanikiwa shule za jirani na Arusha, nimefikia hatua ya kutaka kumhamisha.

Je, taratibu ni zipi? Je, anaweza akahama bila ya kufika Njombe? Je, kuna uwezekano wa kumtafata mwanafunzi wa kubadilisha nae?

Asante kwa msaada wenu!
 
mimi nimesomea njombe na natokea TABORA. usimwamishe NJOMBE SEC ni shule nzuri na pale pana ushindani mkubwa. kwa Njombe hiyo shule inajulikana kama NJOSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…