Ndugu, hatimaye mwanangu amefanikiwa kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano, bahati mbaya yeye anatokea Arusha na amepangwa Njombe Sec, kiukweli mimi kama mzazi ningefurai zaidi angefanikiwa shule za jirani na Arusha, nimefikia hatua ya kutaka kumhamisha.
Je, taratibu ni zipi? Je, anaweza akahama bila ya kufika Njombe? Je, kuna uwezekano wa kumtafata mwanafunzi wa kubadilisha nae?
Asante kwa msaada wenu!
Je, taratibu ni zipi? Je, anaweza akahama bila ya kufika Njombe? Je, kuna uwezekano wa kumtafata mwanafunzi wa kubadilisha nae?
Asante kwa msaada wenu!