Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Mi nilipata kipara nikiwa na umri wako sema mashaallah nimejaliwa ndevu nyeusiii watu hudhani nimezitia dawa.So kwangu ni faida mzuri.
Mimi ndevu bado hazijaanza kuota mkuu.
 
Hakuna kitu kama hiki mkuu

Unadhani Rooney alishindwa kutumia hizo mambo?
Halafu mbona bei zake cheap sana
solution hapo ni kupandikiza nywele tu, hizo nyingine mimi pia sina uhakika kama zinafanya kazi.
 
Pole sana jikubali tu huku ukiendelea kujitahidi kutatua hiyo changamoto.
 
Habari wakuu

Mdogo wenu hapa nimekuja nahitaji msaada wenu, nimeanza kuota kiwalaza na hii inanipa stress sana ukizingatia na umri pia bado hauni ruhusu kumiliki vitu vya ajabu ajabu.

Najaribu kujiuliza kwanini kimeniota haraka haraka namna hii ukizingatia pia hatuna historia ya viwalaza kwenye familia yetu, mzee wangu yupo kwenye 60s na ana nywele zote timilifu.

Bro wangu mkubwa yupo early 30s na yeye hana kiwalaza, sasa najiuliza nimekipata wapi na ndio kwanza nimetimiza miaka 20 juzi hapo ??.

Yani upande wa mbele wa kichwa changu nywele zimeacha kuota pembeni mwa komwe ( receding hairline) na pia nyuma kidogo ya kichwa nywele zimeacha pia kuota.

Wakuu sikuwahi kujua kama hii kitu Ina stress namna hii, na ninavyopenda kunyoa viduku basi daah!
ulizia baba yako sahihi mkuu, huo ukoo si wa kwako😝😝 jokes
utaishia kuibiwa tu mkuuu hakuna dawa
 
Habari wakuu

Mdogo wenu hapa nimekuja nahitaji msaada wenu, nimeanza kuota kiwalaza na hii inanipa stress sana ukizingatia na umri pia bado hauni ruhusu kumiliki vitu vya ajabu ajabu.

Najaribu kujiuliza kwanini kimeniota haraka haraka namna hii ukizingatia pia hatuna historia ya viwalaza kwenye familia yetu, mzee wangu yupo kwenye 60s na ana nywele zote timilifu.

Bro wangu mkubwa yupo early 30s na yeye hana kiwalaza, sasa najiuliza nimekipata wapi na ndio kwanza nimetimiza miaka 20 juzi hapo ??.

Yani upande wa mbele wa kichwa changu nywele zimeacha kuota pembeni mwa komwe ( receding hairline) na pia nyuma kidogo ya kichwa nywele zimeacha pia kuota.

Wakuu sikuwahi kujua kama hii kitu Ina stress namna hii, na ninavyopenda kunyoa viduku basi daah!
Mafutaa ya mnyonyoo.
 
Vipi babu yako upande wa mama alikuwa na uwalaza ?
 
Mi mwenyewe ninacho Kiwalaza ila naendelea na kunyoa kipara tu.
 
Back
Top Bottom