Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please?
Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa.

Inaleta msg hii
TCPDF ERROR: [Image] Unable to get image: https://olas.heslb.go.tz/guploads/S4908_0016_2017.jpg
 
1. Baridisha browser.
2. Tumia simu hafu jitumie kwenye email.
3. Badirisha pc.
4. Nenda stationery.
 
1. Baridisha browser.
2. Tumia simu hafu jitumie kwenye email.
3. Badirisha pc.
4. Nenda stationery.
nilienda stationery lkn vile vile ilikuwa patashika. It was not that much easy as anticipated. Finally nilifanikiwa! asant kwa ushauri
 
Back
Top Bottom