Msaada wa namna ya kusitisha mkataba wa mkopo

Msaada wa namna ya kusitisha mkataba wa mkopo

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
HABARI ZA WIKIENDI WANA JF, NDUGU ZANGU WATANZANIA, NINAOMBA UFAFANUZI.

Mimi ni mfanyakazi tlwa serikali.

NILICHUKUA MKOPO BANC ABC SH. MIL. 5.8

KWA MUDA WA MIEZI 72

NIMESHALIPA MWAKA MMOJA. MAKATO NI 20,5000 per MONTH

JUMLA YA MAREJESHO NI 2.5 HIVI MPAKA SASA.

NIKIPIGA INTEREST KWA MUDA wa72 MONTHS, NI KAMA 14,700,000's

NAHITAJI KUSAFISHA SALARY YANGU BAADA YA KUPATA FAIDA NILIYOWEKEZA.

NINAHITAJI LA KULIPA MKOPO WOTE KABLA HATA YA MIEZI 24,

JE, NAWEZA KULIPA KIASI GANI KumaliZA MKOPO,

NAOMBENI SANA UFAFANUZI ULIO WAZI WANDUGU.

ASANTENI. MBARIKIWE.
 
NIKIPIGA INTEREST KWA MUDA wa72 MONTHS, NI KAMA 14,700,000's
Fika kwenye ofisi zao watakupa mchanganuo.

Kimsingi hesabu huwa inafanyika kabla ya kuchukua fedha, na si baada ya kuchukua fedha.

Kanuni ni hii kadri miezi inavyokuwa mingi ya marejesho ya mkopo ndio jinsi upatavyo hasara.
 
Nenda bank. OMBA statement ya Deni lako. Then wape mpunga wao. Mkuu mikopo in balaa. Weka mbali na watoto!
 
Nenda bank kaombe wakupe loan statement yako, hapo utaweza kuona deni unalodaiwa mpaka sasa hivi then lipa hilo deni unalodaiwa. Note: Kutakuwa na charges kidogo kwa kukatisha mkataba, ufafanuzi zaidi utaupata kupitia loan officer wao
 
Back
Top Bottom