Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua karanga zile ndogo nenda mashineni kazisageWataalamu naombeni maelekezo jinsi gani naweza kutengeneza peanut butter kwa njia rahisi
Aise ngoja nijaribu ila hamna kitu kingine naongeza kama asali hivi au mafuta napia vp kuhusu kutumia blender?Nunua karanga zile ndogo nenda mashineni kazisage
Nunua containers za kuwekea kulingana na mahitaji yako
Park kwenye ujazo tofauti
Kuna kuongeza flavour mbalimbali ila hii achana nayo kwanza
Weka label zako ukiweza
Kilo moja inaweza kukupa mpaka 59,000
Duka la vifungashioNahitaji kujua packaging material nzuri kwa peanut butter naweza kupata wapi
Kama hutojali nipe location yao mkuuDuka la vifungashio
Upo mkoa gani?Kama hutojali nipe location yao mkuu
DsmUpo mkoa gani?
Tafuta duka la packaging yapo mengi sana hasa kariakoo