Msaada wa namna ya kutengeneza peanut butter kwaajili ya biashara.

ellyl

Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
85
Reaction score
127
Wataalamu naombeni maelekezo jinsi gani naweza kutengeneza peanut butter kwa njia rahisi
 
Kuna Njia ya kienyeji ya tangu Zamani,Sema Siyo efficient.Kuna Mashine za Majumbani na kuna mashine kubwa.Download app ya Alibaba kuna mashine hapo.Pia Nenda Sido Wana Mashine local.Na kuna watengeneza Mashine kama Mtanga polymachinery yupo Kibaha.Piga hodi huko.
 
Wataalamu naombeni maelekezo jinsi gani naweza kutengeneza peanut butter kwa njia rahisi
Nunua karanga zile ndogo nenda mashineni kazisage
Nunua containers za kuwekea kulingana na mahitaji yako
Park kwenye ujazo tofauti
Kuna kuongeza flavour mbalimbali ila hii achana nayo kwanza
Weka label zako ukiweza
Kilo moja inaweza kukupa mpaka 59,000
 
Aise ngoja nijaribu ila hamna kitu kingine naongeza kama asali hivi au mafuta napia vp kuhusu kutumia blender?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…