Hii nimafuta kwa wote japo ni ya maji ila kwenye box Kuna picha ya mwanamke wa kihindi ila tumia Kuna rafiki ya mm alielekeza hayo miaka ya nyuma hakika nmeona matokeo ila kwa Dar nilijarbu kuyasaka kkoo ckuyapata kwa ajili ya ofic ya cosmetic kwa jumla.
Mafuta yanayopatikana kwa wingi ni Amla Tara japo hayawezi kufikia dabur amla,ukitaka upate uhakika ya Hili nilizunguzalo search jina la Sogurd Gudson Facebook utaona nywele zake zinavyopendeza...,kwa kutumia mafuta hata,
pia ukikoswa tumia pia Morgan pomade