Msaada wa namna yakuanzisha biashara kulingana na taaluma yako

Msaada wa namna yakuanzisha biashara kulingana na taaluma yako

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya kujiajiri.. Tulio wengi huwa tunawaza kufanyaa biashara na baadhi yetu tunadhani kua biashara ni kuuza bidhaa au kufungua maduka makubwa.. Lakini tukiangalia upande mwingine je kunauwezekano wa mtu kufanya biashara kulingana na taaluma yake? kwa mfano mwalimu,mhasibu,mhandisi,mtu wa kompyuta na wengine wengi.. Mwenye ufaham wa hii kitu naomba atusaidie ili tuweze kujikomboa na janga hili la taifa
 
Ndio inawezekana kabisa, kujiajiri kulingana na taaluma yako. Mfano, mwalimu unaweza kuanzisha tuition centre, mhasibu unaweza kuanzisha consultancy firm, kutengeneza financial statements na financial consultation ya kampuni ndogo ndogo, mhandisi inategemea ni muhandisi wa nn, kwa mfano mhandisi wa umeme unaweza ukaanza kwa kufanya wiring kwenye nyumba za watu, mtu wa compyuta, unaweza kuanzisha internet cafe na kuwa fundi wa compyuta. Sio lazima uanze na kitu kikubwa, anza na kidogo then polepole utasonga kuliko kukaa ukiwaza siku moja utapata ajira.
 
ndio inawezekana kabisa, kujiajiri kulingana na taaluma yako. Mfano, mwalimu unaweza kuanzisha tuition centre, mhasibu unaweza kuanzisha consultancy firm, kutengeneza financial statements na financial consultation ya kampuni ndogo ndogo, mhandisi inategemea ni muhandisi wa nn, kwa mfano mhandisi wa umeme unaweza ukaanza kwa kufanya wiring kwenye nyumba za watu, mtu wa compyuta, unaweza kuanzisha internet cafe na kuwa fundi wa compyuta. Sio lazima uanze na kitu kikubwa, anza na kidogo then polepole utasonga kuliko kukaa ukiwaza siku moja utapata ajira.

Bravo!
 
Hii ipeleke kule Buziness&Economic forum utapata ushauri mzuri tu.
 
mtu wa public admidistration anaweza kufanya nn
 
mtu wa public admidistration anaweza kufanya nn

Anzisha Asasi za Kiraia, Chama cha Siasa, create awareness hasa kwa wananchi wake ktk mambo mbali mbali ya kijamii
 
Back
Top Bottom