Msaada wa nondo za maswali ya usaili nafasi ya ICT TECHNICIAN (TRA)

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Ndugu zangu nimeitwa kwenye usahili wa ICT TECHNICIAN TRA

kwa wale waliowahi kufanya hebu msaada kidogo wa nondo za maswali ya ICT TECHNICIAN
 
Hv bado tokeo zenu hawajatoa tu.. au wanawaacha mshereheke x-max & Mwaka mpya then waje kuwakanda.. PSRS wanajua kweli kucheza na akili za watu
 
Hv bado tokeo zenu hawajatoa tu.. au wanawaacha mshereheke x-max & Mwaka mpya then waje kuwakanda.. PSRS wanajua kweli kucheza na akili za watu

Hahahaha! Basi namimi nilipouona huu uzi nikajua matokeo yao tayari yako hewani, kumbe ni uzi wa kipindi cha nyuma.
 
Duh ilikuwa simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…