VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Ina maana huko chuoni kwenu hakuna watu wa 2nd year?Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Wewe chuo hamnaga permanent notes!! Kila mwaka zinabadilikaIna maana huko chuoni kwenu hakuna watu wa 2nd year?
Hata kama ni first year naomba ujitahidi kuuliza wenyeji.Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Ujinga kivipi?Huo unaouita uintrovert ni Ujinga sasa.....
Omba notes kwa wenzako au waliokuzudi.
Duuh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ujinga kivipi?
Mimi ni form four leaver nitajiunga dit mwezi wa kumi.Nilikiwa nataka kupiga msuli mapema na sina connection ya mtu wa DIT.
Siwezi kwenda tuition kwa sababu kuna kibarua ninafanya huku Mwanza.Nilikuwa ninahitaji connection ya mtu wa DIT diploma Ili nipate notes au format ya topics za first year Ili nianze kusoma huku huku ninapopata muda.Hata kama ni first year naomba ujitahidi kuuliza wenyeji.
Au kama vipi kasome tuition kwa Ras Simba cha mno funga tranka lako na solex[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Bado sijajiunga DIT.Ninaingia mwezi wa kumi mwaka huu nilikuwa ninahitaji kuanza kusoma mapema ninapopata muda binafsi na siwezi kwenda tuition kwa sababu kuna kibarua ninafanya.Ina maana huko chuoni kwenu hakuna watu wa 2nd year?
Ndiyo umemaliza?Duuh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa nini tranka na solex?Hata kama ni first year naomba ujitahidi kuuliza wenyeji.
Au kama vipi kasome tuition kwa Ras Simba cha mno funga tranka lako na solex[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Njia rahisi ya kusoma ni kuwa na sylabus ya somo, then utafute materials popote hata mtandaoni. Kuongezea, sina uhakika kama vitabu vya Theraja kama bado vinatolewa, ila kama vipo tafuta kimoja vinasaidia sana kwa Electrical Engineering, hasa level hiyoHabari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Ndiyo nilikuwa nahitaji kujua hiyo syllabus.Njia rahisi ya kusoma ni kuwa na sylabus ya somo, then utafute materials popote hata mtandaoni. Kuongezea, sina uhakika kama vitabu vya Theraja kama bado vinatolewa, ila kama vipo tafuta kimoja vinasaidia sana kwa Electrical Engineering, hasa level hiyo
Kwa kuwa huwa zinapitiwa na kufanyiwa marekebisho mara kwa mara, nakushauri kama wewe ni continuing student uende kwa mkuu wako wa idara, atakuelekeza pa kuanzia, na hata kama ndio unataka kujoin, pita tu uombe ili ujue objectives za kila course, inasaidia sana kupita ndani ya scope kuliko kujisomea materials yoyote tu. Mimi binafsi ilinisaidia sana kufaulu masomo ambayo wengine walifeliNdiyo nilikuwa nahitaji kujua hiyo syllabus.
Umechaguliwa DIT?Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Kwa hiyo kama zinabadilika ndio atazipata JF?Wewe chuo hamnaga permanent notes!! Kila mwaka zinabadilika