Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

Bado sijajiunga DIT.Ninaingia mwezi wa kumi mwaka huu nilikuwa ninahitaji kuanza kusoma mapema ninapopata muda binafsi na siwezi kwenda tuition kwa sababu kuna kibarua ninafanya.
Acha kupoteza muda wewe. Chuo sio sekondari. Ngoja chuo kifunguliwe utazikuta notes huko huko.

NB: Hii post yako ukija kuisoma ukiwa mwaka wa pili utajicheka sana na kujiona jinsi ulivyo mpumbavu.
 
Acha kupoteza muda wewe. Chuo sio sekondari. Ngoja chuo kifunguliwe utazikuta notes huko huko.

NB: Hii post yako ukija kuisoma ukiwa mwaka wa pili utajicheka sana na kujiona jinsi ulivyo mpumbavu.
Hahah tumpe muda dogo, atajiona boya sana, na atatamani kuifuta hii thread

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Bqdo utoto unakusumbua akili.
🤌🏽🤏🏽 Unaweza kuwa mkubwa ila kubwa jinga.Acheni kujifanya wajuaji kisa mmetuzidi umri .Aimaanishi sisi hatuna vitu tunavyovijua au kuvipanga kimkakati.

Hii nchi ina baadhi ya watu wazima hovyo sana.Jikite kwenye mada kama hauwezi nisaidia acha kuropoka.
 
Acha kupoteza muda wewe. Chuo sio sekondari. Ngoja chuo kifunguliwe utazikuta notes huko huko.

NB: Hii post yako ukija kuisoma ukiwa mwaka wa pili utajicheka sana na kujiona jinsi ulivyo mpumbavu.
Wewe ndiyo mpumbavu ukijifanya kuwa njia yangu si sahihi pasipo kujua malengo yangu.

So usijifanye much know hunijui sikujui.Haujui malengo yangu sijui malengo yako.Acha kujifanya much know wewe na mwenzako Political stability.
 
Kama wewe ni form four leaver nakushauli tafuta tranter na nelkon kwanza then soma Sana hesabu na zile topics za umeme kwenye nelkon engineering ni mtoto was physics na hesabu
Sawa, shukrani.
 
Back
Top Bottom