Darren2019 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2019 Posts 1,111 Reaction score 2,413 Apr 28, 2025 #1 Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
Lecheminduroi2 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2025 Posts 265 Reaction score 668 Apr 28, 2025 #2 Kama mnahitaji nyumba nzuri nendeni kwenye vijiwe vya madalali stand ya usangu au kingani kuna dalali mmoja hivi maarufu sana pale jina limenitoka, nina hakika by saa 8 tu tayari mtakuwa mnahamia
Kama mnahitaji nyumba nzuri nendeni kwenye vijiwe vya madalali stand ya usangu au kingani kuna dalali mmoja hivi maarufu sana pale jina limenitoka, nina hakika by saa 8 tu tayari mtakuwa mnahamia
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,600 Reaction score 9,555 Apr 28, 2025 #3 Uyole umepata
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,788 Reaction score 16,227 Apr 28, 2025 #4 Darren2019 said: Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏 Click to expand... Mtafute mwakabenga au mwakachukuchu
Darren2019 said: Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏 Click to expand... Mtafute mwakabenga au mwakachukuchu