Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Mwenye link anisaidie.
nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili
asante
Mathias ulikuwa una maana ya software yoyote ya ku edit picha?
Photoshop uliouliza haipo na huwezi kuipata. Kama unatafuta link kwa ajili ya kudownload photo editing/fixing software sema tukuwekee link hapa.
Maana yangu alikuwa hawezi kupata Photoshop ya size aliyoandika hapo. Hata version 7.0 ni karibu 600 mb na kadri wanavyoendelea kutoa mpya ndivyo wanavyo na capacity yake inazidi kuongezeka! Hii CS5 ni kubwa karibu 2gb. Hivyo kama anatafuta Photoshop asahau.kupata anaweza kupata na yeye kathibitisha hilo lakini sio kwa masharti yake ya size ya tena hata ya 800 bado anaona kubwa .Labda anongee na Adobe wamtenezee pack yake.
Lakini kishaona tatizo lake sio kupata software tatizo lake hasa ni network kwa hiyo akienda intern net nzuri anaipata. within one hour
Labda useme uko sehemu gani ili kama kuna mwana JF ambaye anayo akupe...mfano kama uko Arusha nijulisheMwenye link anisaidie.
nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili
asante