Msaada wa photoshop free Software Internet download isiyozidi 20MB

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Mwenye link anisaidie.
nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili

asante
 
Mathias ulikuwa una maana ya software yoyote ya ku edit picha?
Photoshop uliouliza haipo na huwezi kuipata. Kama unatafuta link kwa ajili ya kudownload photo editing/fixing software sema tukuwekee link hapa.
 
kupata anaweza kupata na yeye kathibitisha hilo lakini sio kwa masharti yake ya size ya tena hata ya 800 bado anaona kubwa .Labda anongee na Adobe wamtenezee pack yake.

Lakini kishaona tatizo lake sio kupata software tatizo lake hasa ni network kwa hiyo akienda intern net nzuri anaipata. within one hour
 
Maana yangu alikuwa hawezi kupata Photoshop ya size aliyoandika hapo. Hata version 7.0 ni karibu 600 mb na kadri wanavyoendelea kutoa mpya ndivyo wanavyo na capacity yake inazidi kuongezeka! Hii CS5 ni kubwa karibu 2gb. Hivyo kama anatafuta Photoshop asahau.
Lakini kama ni Photo editing software ya ukubwa huo hizo ziko nyingi na hata ya 3mb anapata
:lol:
 
Mwenye link anisaidie.
nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili

asante
Labda useme uko sehemu gani ili kama kuna mwana JF ambaye anayo akupe...mfano kama uko Arusha nijulishe
 
Back
Top Bottom