Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Jamani kina member ana hiyo picha nimepiga nikiwa na mpenzi wangu wa miaka hiyo mzenji tafadhali NAOMBA alie nayo anipatie nilijisahau nikafuta baadhi ya documents nika futa na hiyo tafadhali nipate msaada member alie nayo anipatie ni kumbukumbu zilizo Baki kwenye maisha yangu.
Siku hiyo tunapiga hiyo picha nilikua nimeloa jasho kichizi nimetoka kwenye miangaiko nikapita kwao cha kushangaza demu alini hug bila shida na lile jasho nililo kua nalo Kwa kweli nikitu hakiwezi futika Kwa maisha yangu. Nilikua na smell jasho hatari lakini kwake haikua shida kabisa, ni maisha ndo yalivo Kuna muda wa kuwa pamoja na muda wa kutengana
I love you baby wherever you are, chini baby Mr fravour can I have a song pliz Mr dj boooom