Msaada wa program ya kuchagua UDOM



Ruvu watoto wa mjini kaka mwaka wetu vyuo vingi walileta watu wao kuja kutoa elimu! Nlikuwa hapo mkatulimisha sana kule shadid
 
Kama ni kozi nzuri kwa ufaulu wake kwa UDOM labda education with ICT maana mwaka huu madogo wamefaulu Sana

Lkn nje ya hapo kwa vyuo kama MZUMBE, IFM, CBE, TIA, IAA, makumira, mwenge na SAUT anaweza kupata course nzuri tu
 
CLINICAL NUTRITION and DIETETIC IN UDOM .


Wan jf msaada/ushauri juu ya hili program na wigo wa majukumu yake n yapi karibuni
 
Kwa mwaka huu kwa ufaulu huo ndugu usiombe udom pekee atakosa chuo jitaidi private pia kuomba omba
 
Udom dirisha limefungwa au bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…