Inakuwaje wanajamvi?
Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku.
Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro.
Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa inapatikana hapo Boma ya Ng'ombe.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Chaliifrancisco Bushmamy tweenty4seven Darmian King Kong III