Msaada wa Research title

Msaada wa Research title

Pwito

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
179
Reaction score
39
Wakuu naomba msaada. Nataka kufanya dissertation yangu ya chuo. Naunganisha sekta nne

DONOR - BANK - GUARANTOR - SME

Nawaomba mnisaidie title au hata research problem inayowaunganisha wote hawa.

Donor ana-provide revolving fund ambayo inapitia bank na bank inapitia Guarantor ambaye anakuwa beneficiary wa hizo SMEs katika kupatia hiyo mikopo. Embu nisaidieni hapo GAP lililopo
 
Huwa naona kuna tatizo katika interest ya kimaslah kati ya Bank na guarantors.sasa hiyo pia yaweza kuwa Research Gap
Lakini pia Performance ya Revolving Fund kwa Hizo SMEs waweza itengenezea Gap.
Kwa Ushauri mkuu jaribu kusoma Vitabu vya Small micro enterprise utapata mwanga mzuri
 
Atleast umenipa pakuanzia Mkuu, na nimeipenda sana hiyo ya performance nahisi nitaingia deep kuwa study. Thanks
 
Atleast umenipa pakuanzia Mkuu, na nimeipenda sana hiyo ya performance nahisi nitaingia deep kuwa study. Thanks

'Performance na Returns' ni key words.

Soma kwenye google:
SMEs financing, entrepreneurship, lending
 
uko chuo gani? kama title tu inakushinda, proposal yenyewe utaweza kuiandika kweli? Kijana chacharika mdogo wangu
 
Back
Top Bottom