Wakuu naomba msaada. Nataka kufanya dissertation yangu ya chuo. Naunganisha sekta nne
DONOR - BANK - GUARANTOR - SME
Nawaomba mnisaidie title au hata research problem inayowaunganisha wote hawa.
Donor ana-provide revolving fund ambayo inapitia bank na bank inapitia Guarantor ambaye anakuwa beneficiary wa hizo SMEs katika kupatia hiyo mikopo. Embu nisaidieni hapo GAP lililopo