Huwa naona kuna tatizo katika interest ya kimaslah kati ya Bank na guarantors.sasa hiyo pia yaweza kuwa Research Gap
Lakini pia Performance ya Revolving Fund kwa Hizo SMEs waweza itengenezea Gap.
Kwa Ushauri mkuu jaribu kusoma Vitabu vya Small micro enterprise utapata mwanga mzuri
Atleast umenipa pakuanzia Mkuu, na nimeipenda sana hiyo ya performance nahisi nitaingia deep kuwa study. Thanks