Msaada wa rims za subaru legacy

Msaada wa rims za subaru legacy

Simbamteme

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
804
Reaction score
2,131
Kichwa cha habari chajieleza...nimepata majanga na subaru legacy...sasa rim 1 imepasuka vibaya sana na mafundi wakanishauri ni heri nitafute rim nyngne tu...wap naweza nikapata rim hyo kwa hapo dar then itumwe huku nilipo mm mbeya?
 
Mcheki Dick Sound magomeni ana rim nzuri sana
 
Back
Top Bottom