Ukikata rufaa kesi huwa haisikilizwi upya bali mahakama hujikita katika hukumu ya mahakama ya wilaya pamoja na hoja zako za rufaa.
Mahakama ya wilaya ina mamlaka ya kukufunga hadi miaka 30 mfano kosa kosa la ubakaji, miaka 14 katika kosa unyang'anyi wa kutumia silaha, n.k.