Msaada wa sababu ya hichi kitu

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Habar za pilka pilka za kusaka lishe wana jf..mimi nahisi nina tatizo.ili tatizo linakuja pindi tu napokua far from home yani labda nikiwa shule.waga nahisi uchovu sana..kuhisi kuumwa umwa nikiamka asubuhi na siku nzima nakua ivo ivo..watu wananiambia ninywe maji lakin ata nikinywa maji mengi mambo ni yale yale..nikisema nifanye mazoezi nahisi ntazidi kua mwembamba maana mimi ni mwembamba mno.nisaidieni wanajf nini sababu ya uchovu wa mara kwa mara.yani nimeshindwa.kila cku najihisi kuumwa umwa tu na kweli ata nikipima cna tatizo lolote.
 
You get homesick dear!!Na inategemea na mlo unaoupata huko shule je una virutubisho vya kutosha?
 
Niko chuo mpenz sio shule srry..sasa labda cjua balanced diet iko vip kwan?
 
Niko chuo mpenz sio shule srry..sasa labda cjua balanced diet iko vip kwan?
  1. Muhimu sana ule mlo kila baada ya masaa 3-4 kwamaana hio unatakiwa ule milo minne kwa siku.
  2. Mboga mboga(vegetables),Fruits ni muhimu kwasababu tunapata vitamins na fibres nyingi kwenye vyakula hivo:kawaida unatakiwa ule hivo 5 in a day mfano mboga aina 3 tofauti na matunda aina 2 tofauti!!
  3. Ukila mlo wako mfano mlo wa mchana kwenye sahani lazima ugawanye 1/3 iwe mboga(mfano salad),1/3 karobohydrate/starch(viazi,wali n.k)na 1/3 iwe protein(samaki,nyama,kuku,mayai kwa ujumla vitoweo vya aina tofauti).
  4. Kunywa maji ya kutosha kwa mwanaume anahitaji lita 3 za maji kwa siku.
  5. Ni vizuri pia ukipata kifungua kinywa ule chakula kitakachokupa energyboost ya kutosha kwasababu kifungua kinywa ndio mlo muhimu kati ya yote mfano:ni vizuri ukiwa na milk or milkproduct(e.g fruit youghurt or cheese),either some fruits/fresh fruit juice/smoothie(mchanganyiko wa matunda fresh unausaga kwenye blenda na juice au maziwa),a little touch of protein like boiled egg,and some toast!
  6. Unaweza kujaribu Muesli(ni mchanganyiko wa matunda makavu,nuts,cereals and rolled oats) unachanganya na maziwa au mtindi...ni mlo mzuri ambao unaweza kuuweka kati ya hio milo minne
  7. Mazoezi ni mazuri kwa afya yako,kuna mazoezi ya kufanya mwili usilemae ukazane,yaani uwe physical fit ujenge misuli zaidi(Dont you want to build your body strength?)!
  8. Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi na take aways zina contain unstaurated fats which are not good for your body
  9. Kuna uwezekano una mapungufu ya madini ya IRON mwilini nakushauri uende hospital ukapimwe heamoglobin levels zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…