Habar za pilka pilka za kusaka lishe wana jf..mimi nahisi nina tatizo.ili tatizo linakuja pindi tu napokua far from home yani labda nikiwa shule.waga nahisi uchovu sana..kuhisi kuumwa umwa nikiamka asubuhi na siku nzima nakua ivo ivo..watu wananiambia ninywe maji lakin ata nikinywa maji mengi mambo ni yale yale..nikisema nifanye mazoezi nahisi ntazidi kua mwembamba maana mimi ni mwembamba mno.nisaidieni wanajf nini sababu ya uchovu wa mara kwa mara.yani nimeshindwa.kila cku najihisi kuumwa umwa tu na kweli ata nikipima cna tatizo lolote.