Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Sawa.Lakini ,Sijajua kama wamebadili mkuu ila hilo mimi ndio nalifaham.
Sawa mkuu,nimekupata sana.Si lazma upate namba zake unaweza andika RITA SIMANJIRO MANYARA
ikafika
Nakumbuka mm nlipokuwa shule kama nlikuwa natuma barua redion au shule flan na sina box nlikuwa natumia mfumo huo
Mfumo mwingne n kwenda posta na kuomba kitabu cha box
Unafikiri hata najua basi kaka..
Sawa sawa.Unafikiri hata najua basi kaka..
Ngwacha nifuatilie comments
Kwa mfano ninafanya maombi yoyote online naweza pia kuandika kama 👆bila kuwa na box yake?Si lazma upate namba zake unaweza andika RITA SIMANJIRO MANYARA
ikafika
Nakumbuka mm nlipokuwa shule kama nlikuwa natuma barua redion au shule flan na sina box nlikuwa natumia mfumo huo
Mfumo mwingne n kwenda posta na kuomba kitabu cha box
Punguza kicheko kaka..😎Sawa sawa.
Mbinu zipo mbili kwenda posta kupata kitabuKwa mfano ninafanya maombi yoyote online naweza pia kuandika kama 👆bila kuwa na box yake?