Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2021
Posts
6,432
Reaction score
25,646
Wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyosema.

Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.

Mwenye ufahamu naomba anisaidie.

Natanguliza shukran.
 
Depal

Arusha na manyara si pua na mdomo? Nimekwama naomba Msaada mrembo.
 
Si lazma upate namba zake unaweza andika RITA SIMANJIRO MANYARA
ikafika
Nakumbuka mm nlipokuwa shule kama nlikuwa natuma barua redion au shule flan na sina box nlikuwa natumia mfumo huo

Mfumo mwingne n kwenda posta na kuomba kitabu cha box
 
Sawa mkuu,nimekupata sana.

Shukran.
 
Si lazma upate namba zake unaweza andika RITA SIMANJIRO MANYARA
ikafika
Nakumbuka mm nlipokuwa shule kama nlikuwa natuma barua redion au shule flan na sina box nlikuwa natumia mfumo huo

Mfumo mwingne n kwenda posta na kuomba kitabu cha box
Kwa mfano ninafanya maombi yoyote online naweza pia kuandika kama 👆bila kuwa na box yake?
 
Mbinu zipo mbili kwenda posta kupata kitabu
Au
Kuandika sehemu husika bola hata box namba.
Mfano shule flan ya mkoa flan
 
Back
Top Bottom