Msaada wa Security Code ya Nokia 2700

Msaada wa Security Code ya Nokia 2700

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Naomba wadau mnisaidie security code ya simu aina ya Nokia 2700.Natanguliza shukrani.
 
0000 au 12345 au soma ndani kwenye karatasi yake (kama una maana ya default code)
 
Kama haujaibadilisha andika 12345 na kama ulibadili na hauikumbuki nenda ukaiflash
 
Back
Top Bottom