Msaada wa sehemu nitakayoweza kupata mkopo

Msaada wa sehemu nitakayoweza kupata mkopo

botafongo jr

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
107
Reaction score
17
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwa ajili ya kuviweka kama dhamana ili nipate mkopo huo.

Nilikuwa naomba kama kuna mtu yoyote anafahamu ni wapi nitaweza kupata mkopo ambapo hawana masharti magumu ili niweze kupata mkopo huo mimi nipo tayari ata kuviweka vyeti vyangu vya shule kama dhamana.

Asanteni..
 
Hivyo vyeti havina thamani sokoni hauwezi kuvitumia kupata mkopo. Unachohitaji ni investor kwenye hiyo biashara yako tafuta mtu ambaye unaweza kumpa asilimia fulani ya hiyo biashara yako umweleze plan yako akikubali akupe capital ya kuanzia.
 
Kama uko tayari kutoa asilimia fulani ktk biashara yako ni pm
 
Wewe una idea, watu wana capital so angalia mwenye capital ungependa umpe percentage gani... 50/50 ikiwezekana kwan mnaweza kusema mmeshare capital
 
Wewe una idea, watu wana capital so angalia mwenye capital ungependa umpe percentage gani... 50/50 ikiwezekana kwan mnaweza kusema mmeshare capital

Pia unaweza kujiwekea akiba kidogo kidogo kwenye SACCOS hii ni kwa ajili ya baadaye lakini pia endapo kama utakosa mkopo huo kwa sasa.Tafuta iliyo karibu nawe waulizie taratibu zinazotakiwa na mambo kama hayo.
 
Back
Top Bottom