Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

Ubalozini walikwambia hivi? Kwa sababu najua kina nchi kama Russia, unatakiwa kusoma lugha yao for a year before continuing with undergraduate.

Ni miaka zaidi ya 15, inawezekana mambo yamebadilika.

Ila ukifika ubalozoni wana option nyingi sana wewe tu
Wewe unacomplicate sana mamboz kwa system ya Ujerumani amajieleza vizuri na muelewa ameelewa.

Lugha ya kijerumani kina level zake Au pair na under graduate ni vitu viwili tofauti.
 
Wewe unacomplicate sana mamboz kwa system ya Ujerumani amajieleza vizuri na muelewa ameelewa.

Lugha ya kijerumani kina level zake Au pair na under graduate ni vitu viwili tofauti.
Bro. As I said before wakati namaliza six kulikuwa na option ya ku apply scholarship undergraduate moja kwa moja

Sasa sijaelewa nini? Ninemweleza aulize ubalozini kama nafasi kama hizo bado zipo, huwa zinatolewa kwa baadhi ya vyuo kule au zinapatikana kwa kushirikiana na serikali

Unamaanisha vipi sijaelewa?
 
Kijerumani ulisoma level gani?
 
Njoo PM kuna mama nataka nikupe namba yake nadhani daycare yake pia ipo hukohuko Kimara. Ni mama mzungu wa roho. Ukimpigia ukaongea naye nina uhakika atakuelewa 100%
Nashukuru sana mkuu.

Nime ku pm
 
Google nursery school in Dar utapata link zao jaribu utakayoona inakufaa.

Ukiomba sehemu 10 huwezi kukosa sehemu moja watakuchukuwa hili nakuhakikishia, bínadamu hatufanani kuna watu wana moyo wa kusaidia na kuona mtu anatimiza ndoto zake.

Kuna Montfort brothers wana Nursery mpaka high school nitakuombea kwa Brother mmoja nafahamiana naye.
Nitashukuru sana mkuu wa msaada wako.
 
Au- pair Iko recommend Kwa wadada zaidi I think nawe ni mdada,

ila nikutie moyo katika safari yako hiyo pia nadhani hata ukisha fika huko unakuwa unaendelea kusoma lugha after 1 year kabla ya kuisha mkataba wako na host family unaweza kuomba opportunity visa ikiwa umepata sehemu nyingine ya kupiga kazi uku ukisoma kile utakachoona kinakufaa .
 
Back
Top Bottom