Ajitahidi kufika hiz daycare kubwa kubwa kidogo ambazo sio za mtaaniKupata knoledge nayo ni nzuri zaidi, akifuata utaratibu wao hiyo viza wanampa bila tabu.
Umri wake bado mdogo hakuna haja ya haraka za shortcut.
Wewe unacomplicate sana mamboz kwa system ya Ujerumani amajieleza vizuri na muelewa ameelewa.Ubalozini walikwambia hivi? Kwa sababu najua kina nchi kama Russia, unatakiwa kusoma lugha yao for a year before continuing with undergraduate.
Ni miaka zaidi ya 15, inawezekana mambo yamebadilika.
Ila ukifika ubalozoni wana option nyingi sana wewe tu
Bro. As I said before wakati namaliza six kulikuwa na option ya ku apply scholarship undergraduate moja kwa mojaWewe unacomplicate sana mamboz kwa system ya Ujerumani amajieleza vizuri na muelewa ameelewa.
Lugha ya kijerumani kina level zake Au pair na under graduate ni vitu viwili tofauti.
Kijerumani ulisoma level gani?Bro. As I said before wakati namaliza six kulikuwa na option ya ku apply scholarship undergraduate moja kwa moja
Sasa sijaelewa nini? Ninemweleza aulize ubalozini kama nafasi kama hizo bado zipo, huwa zinatolewa kwa baadhi ya vyuo kule au zinapatikana kwa kushirikiana na serikali
Unamaanisha vipi sijaelewa?
Nashukuru sana mkuu.Njoo PM kuna mama nataka nikupe namba yake nadhani daycare yake pia ipo hukohuko Kimara. Ni mama mzungu wa roho. Ukimpigia ukaongea naye nina uhakika atakuelewa 100%
Nitashukuru sana mkuu wa msaada wako.Google nursery school in Dar utapata link zao jaribu utakayoona inakufaa.
Ukiomba sehemu 10 huwezi kukosa sehemu moja watakuchukuwa hili nakuhakikishia, bínadamu hatufanani kuna watu wana moyo wa kusaidia na kuona mtu anatimiza ndoto zake.
Kuna Montfort brothers wana Nursery mpaka high school nitakuombea kwa Brother mmoja nafahamiana naye.
Sikusoma kijerumaniKijerumani ulisoma level gani?