Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.

Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.

Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.

Kwani lazima ununue uwe na cash ndiyo utume? Kama una account ya Tsh nenda kwenye hiyo bank watume kwa TT.
 
Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.

Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.

Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
Upatikanaji wa dola imekuwa changamoto kubwa ndugu yangu. Kwanini usitumie Yen ya Japan au hata hela yao hawaitaki?
 
Back
Top Bottom