Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

Ngoja nikusanue kamanda, nenda bank yoyote ya kimataifa hasa, mi napendelea Equity ndio wako fair kiasi kisha fuata malekezo haya;
1. Fungua account mbili, moja ya USD nyingine ya TZS ( kama hauna account kwenye bank husika)
2. Tia mzigo wa kutosha kwenye account ya TZS kiasi ambacho kitatosha mahitaji yako ya dollars.
3. Omba kufanya transfer ya kutoka account yako ya TZS kwenda account ya USD.
Watakubali kwa sababu it's within their bank na wewe ni mteja wao. Sepa mamtoni na VISA card yako ya USD account kanunue mzigo wako and the case is solved. Haya nilipe consultation fee ( joking [emoji1787])

Trust me it works, imenisaidia sana mimi kupata USD

NB: Usisahau kutoa ya kubrashia kiatu kwa anayekuhudumia ili kuboresha mahusiano next ukienda tena ( joking [emoji1787])
 
Kuna njia ya kupata dola kwa usdt .
Kuna uzi nilieleza kuhusu USDT ila kama wasomaji walikosekana.

Crypto ambayo usdt inazidi kupoteza usd kwenye mzunguko
IMG_0248.png
 
Ngoja nikusanue kamanda, nenda bank yoyote ya kimataifa hasa, mi napendelea Equity ndio wako fair kiasi kisha fuata malekezo haya;
1. Fungua account mbili, moja ya USD nyingine ya TZS ( kama hauna account kwenye bank husika)
2. Tia mzigo wa kutosha kwenye account ya TZS kiasi ambacho kitatosha mahitaji yako ya dollars.
3. Omba kufanya transfer ya kutoka account yako ya TZS kwenda account ya USD.
Watakubali kwa sababu it's within their bank na wewe ni mteja wao. Sepa mamtoni na VISA card yako ya USD account kanunue mzigo wako and the case is solved. Haya nilipe consultation fee ( joking [emoji1787])

Trust me it works, imenisaidia sana mimi kupata USD

NB: Usisahau kutoa ya kubrashia kiatu kwa anayekuhudumia ili kuboresha mahusiano next ukienda tena ( joking [emoji1787])
Sasa mzunguko wote wa kufungua akaunti ya dola wa nini?
Akaunti ya Tshs ikiwa na visa card itatoa currency ya dola ukiwa huko kwenye nchi husika , cha muhimu ni kuwa na black card or equivalent ambayo daily limit ni pesa nyingi.
Kimbembe ni kupata dola ukiwa hapa nchini !
 
Back
Top Bottom