Joyce wohwoh
Member
- Sep 17, 2021
- 80
- 185
Dollar kiasi Gani?Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
Asante sana nilikuwa nafikiria hili.sina experience na mambo haya.Kwani lazima ununue uwe na cash ndiyo utume? Kama una account ya Tsh nenda kwenye hiyo bank watume kwa TT.
Asante sana nilikuwa nafikiria hili.sina experience na mambo haya.
Now bank zote hakuna dolla mpaka uende nazo za kwako hata TT transfer wamezuia hatari sana.Asante sana nilikuwa nafikiria hili.sina experience na mambo haya.
Kwahiyo uwez fanya manunuzi.?Now bank zote hakuna dolla mpaka uende nazo za kwako hata TT transfer wamezuia hatari sana.
Huwezi labda uende nazo zako mwenyewe.Kwahiyo uwez fanya manunuzi.?
$2330Unataka $ kiasi gani??
Hata TT transfer hamna kitu mzee. As long as inataka exchange rate hawatumi TTFanya hivyo tu.
Tumefika huku kweli??$2330
Hali mbaya na inaelekea kuwa mbaya zaidi Mungu atusaidie.Tumefika huku kweli??
Ina maana bureau de change hakuna dollar?Hata TT transfer hamna kitu mzee. As long as inataka exchange rate hawatumi TT
Ninazo. Kiasi chochote. Bei 100/400kHabari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
Dola zipo hata bank dola zipo tatizo ni hakuna ruhusa kuuzaIna maana bureau de change hakuna dollar?
Hali mbaya na inaelekea kuwa mbaya zaidi Mungu atusaidie.
Upatikanaji wa dola imekuwa changamoto kubwa ndugu yangu. Kwanini usitumie Yen ya Japan au hata hela yao hawaitaki?Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.