Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu naomba msaada jinsi ya kuunganisha internet kwenye simu yangu.
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuunganisha internet kwenye simu yangu.
Unatumia mtandao gani?
Kama voda
A> andika wap acha nafasi jina la simu acha nafasi model kisha tuma 15300,
B>au tuma tarakimu nane za mwanzo za imei no ya simu yako kwenda 15300.
Tigo fuata utaratibu A kama voda kwa kutuma kwenda 500