Msaada wa sheria anaumwa kansa ya damu iliyosababisho na mgodi n. Mara

Msaada wa sheria anaumwa kansa ya damu iliyosababisho na mgodi n. Mara

kidesheni

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
178
Reaction score
35
Ndg wana JF,
mpendwa wangu anaumwa kansa ya damu na amelazwa bugando, ambayo imesabishwa na kufanya kazi katika mgodi wa north Mara, kama kibarua akiwa anajitafutia riziki, naomba nisaidiwe kisheria ni fanyeje? ili angalau iwe fundisho kwa hawa wamiliki ili tuokoe watanzania wenzetu.
 
Poleni sana.
Asubuhi nenda ofisi ya labour hapo mwanza mjini. Iko opposite na ilipokuwa nyumbani hotel. Nadhani kuna petrol station somewhere na ofisi iko pembeni. Ulizia ofisi za OSHA. Katoe hizi taarifa na watazifanyia kazi.

Nakutahadharisha, utaulizwa maswali mengi, lakini uwe na subira. Ili iamuliwe kama kweli kansa yake imetokana na kazi yake hapo ni kazi ngumu inayohitaji uchunguzi wa kisayansi. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom